forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
822 B
Markdown
20 lines
822 B
Markdown
# Sentensi Unganishi
|
|
|
|
Baada ya kuwa ameeleza mipango yake iliyobadilika na mwelekeo wa huduma yake, Paulo anazungumza kuhusu utoaji.
|
|
|
|
# neema ya Mungu ambayo imetolewa kwa makanisa ya Makedonia
|
|
|
|
Mstari huu waweza kuelezwa kwa jinsi ya utendaji: "neema ambayo imetolewa kwa makanisa ya Makedonia.
|
|
|
|
# wingi wa furaha yao na ongezeko la umaskini wao umezaa utajiri mkubwa wa utoaji.
|
|
|
|
Paulo anazungumzia "furaha" na " umaskini: kama vile vilikuwa viumbe hai ambavyo vinaweza kutoa ukarimu.
|
|
|
|
# ongezeko la umaskini wao umezaa utjiri mkubwa wa ukarimu.
|
|
|
|
Ingawa makanisa ya Makedonia yameteseka kwa majaribu ya mateso na umaskini, kwa neema ya Mungu yameweza kukusanya fedha kwa ajili waamini walioko Yerusalamu.
|
|
|
|
# utajiri mkubwa wa ukarimu
|
|
|
|
" ukarimu mkubwa sana." Maneno " utajiri mkubwa" yanasisitiza ukuu wa ukarimu wao.
|