sw_tn/2co/08/01.md

822 B

Sentensi Unganishi

Baada ya kuwa ameeleza mipango yake iliyobadilika na mwelekeo wa huduma yake, Paulo anazungumza kuhusu utoaji.

neema ya Mungu ambayo imetolewa kwa makanisa ya Makedonia

Mstari huu waweza kuelezwa kwa jinsi ya utendaji: "neema ambayo imetolewa kwa makanisa ya Makedonia.

wingi wa furaha yao na ongezeko la umaskini wao umezaa utajiri mkubwa wa utoaji.

Paulo anazungumzia "furaha" na " umaskini: kama vile vilikuwa viumbe hai ambavyo vinaweza kutoa ukarimu.

ongezeko la umaskini wao umezaa utjiri mkubwa wa ukarimu.

Ingawa makanisa ya Makedonia yameteseka kwa majaribu ya mateso na umaskini, kwa neema ya Mungu yameweza kukusanya fedha kwa ajili waamini walioko Yerusalamu.

utajiri mkubwa wa ukarimu

" ukarimu mkubwa sana." Maneno " utajiri mkubwa" yanasisitiza ukuu wa ukarimu wao.