sw_tn/2co/07/15.md

12 lines
316 B
Markdown

# utii wenu ninyi nyote
Hili jina "utii" linaweza kuelezwa pamoja na tendo "tii".
# mlivyomkaribisha kwa hofu na kutetemeka
Neno "hofu" na "kutetemeka"hueleza maana ileile na kusisitiza ongezeko la hofu.
# kwa hofu na kutetemeka.
Maana zaweza kuwa )" kwa hofu kubwa kwa Mungu ) au kwa hofu kubwa kwa Tito.