sw_tn/2co/07/15.md

316 B

utii wenu ninyi nyote

Hili jina "utii" linaweza kuelezwa pamoja na tendo "tii".

mlivyomkaribisha kwa hofu na kutetemeka

Neno "hofu" na "kutetemeka"hueleza maana ileile na kusisitiza ongezeko la hofu.

kwa hofu na kutetemeka.

Maana zaweza kuwa )" kwa hofu kubwa kwa Mungu ) au kwa hofu kubwa kwa Tito.