sw_tn/2co/07/08.md

1.3 KiB

Sentensi Unganishi

Paulo anawasifu kwa huzuni yao ya ucha mungu, ari yao ya kutenda haki, na furaha ambayo ilimleta yeye na Tito.

Habari za Jumla:

Hii inarejea kwenye barua ya kwanza ya Paulo kwa hawa waamini wa Wakorintho ambapo aliwakemea wakristo kukubali mtu kufanya zinaa na mke wa baba yake.

wakati nilipoona waraka wangu

"wakati nilipojifunza waraka wangu"

si kwa sababu mlikuwa na shida

Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa jinsi ya utendaji"siyokwa sababu kile nilichokisema katika barua yangu kiliwahizunisha ninyi"

mliteseka si kwa hasara kwa sababu yetu

"mliteseka si kwa hasara kwa sababu tuliwakemea" Hii ina maa kuwa barua hiyo iliwasababishia huzuni, haukupita muda mrefu walifaidika kutokana na barua ile kwa sababu iliwaongoza kwenye toba

Kwa kuwa huzuni ya kiungu huleta toba ambayo hukamilisha wokovu

Neno "toba" laweza kurudiwa kufafafnua uhusiano wake kwa kile kilichotangulia na kile kinachofuata.

bila kujuta

Maana zaweza kuwa " Paulo hajuti kwamba amewasababishia huzuni kwa sababu huzuni hiyo iliwaongoza kwenye toba na wokovu) au Wakorintho hawatajuta kupitia huzuni kwa sababu inawaongoza kwenye toba yao na wokovu.

Huzuni ya kidunia, hata hivyo, huleta mauti

Aina hii ya huzuni hupelekea kifo badala ya wokovu kwa sababu haileti toba