sw_tn/2co/07/05.md

638 B

Tulikuja Makedonia

Neno "sisi"lina maanisha Paulo na Timotheo na siyo Wakorintho au Tito.

miili yetu haikuwa na pumzikO

neno "miili"linaelezea utu wote wa mwanadamu

Tulipata taabu kwa namna zote

Hii yaweza kuelezwa kwa jinsi ya utendaji: " tulipitia mateso katika kila njia"

tulipata taabu kwa namna zote kwa kupigwa vita upande wa nje na hofu upande wa ndani

Maana zinazopendekezwa kwa neno" nje" "ni nje ya miili yetu" au "nje ya kanisa." Neno "ndani" linaelezea hisia zao za ndani.

kwa faraja zile Tito alizopokea kutoka kwenu

Paulo alipokea faraja kwa katika kutambua kuwa Wakorintho walikuwa wamemfariji Tito