sw_tn/2co/07/05.md

20 lines
638 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tulikuja Makedonia
Neno "sisi"lina maanisha Paulo na Timotheo na siyo Wakorintho au Tito.
# miili yetu haikuwa na pumzikO
neno "miili"linaelezea utu wote wa mwanadamu
# Tulipata taabu kwa namna zote
Hii yaweza kuelezwa kwa jinsi ya utendaji: " tulipitia mateso katika kila njia"
# tulipata taabu kwa namna zote kwa kupigwa vita upande wa nje na hofu upande wa ndani
Maana zinazopendekezwa kwa neno" nje" "ni nje ya miili yetu" au "nje ya kanisa." Neno "ndani" linaelezea hisia zao za ndani.
# kwa faraja zile Tito alizopokea kutoka kwenu
Paulo alipokea faraja kwa katika kutambua kuwa Wakorintho walikuwa wamemfariji Tito