sw_tn/2co/06/08.md

746 B

Habari za Jumla

Paulo anaorodhesha mitazamo mingi jinsi watu wanavyofikiri juu yake na huduma yake.

Tunatuhumiwa kuwa wadanganyifu

Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii: "watu hutushtaki kwa kuwa wadanganyifu"

kana kwamba hatujulikani na bado tunajulikana vizuri.

Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii: "ikiwa kama watu hawakututambua sisi na bado watu wanatutambua vizuri"

Tazama!

Neno "Tazama" linatukumbusha kusikiliza kwa makini habari za kushangaza zinazofuata.

Tunafanya kazi kama tunaoadhibiwa kwa ajili ya matendo yetu lakini sio kama vile waliohukumiwa hata kufa.

Sentensi hii inaweza kuelezwa hivi": "tunatemda kazi kama vile watu wanatuadhibu kwa matendo yetulakini siyo kama vile wametuhukumu kufa"