sw_tn/2co/06/08.md

21 lines
746 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Habari za Jumla
Paulo anaorodhesha mitazamo mingi jinsi watu wanavyofikiri juu yake na huduma yake.
# Tunatuhumiwa kuwa wadanganyifu
Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii: "watu hutushtaki kwa kuwa wadanganyifu"
# kana kwamba hatujulikani na bado tunajulikana vizuri.
Sentensi hii inaweza kuelezwa kwa jinsi hii:
"ikiwa kama watu hawakututambua sisi na bado watu wanatutambua vizuri"
# Tazama!
Neno "Tazama" linatukumbusha kusikiliza kwa makini habari za kushangaza zinazofuata.
# Tunafanya kazi kama tunaoadhibiwa kwa ajili ya matendo yetu lakini sio kama vile waliohukumiwa hata kufa.
Sentensi hii inaweza kuelezwa hivi": "tunatemda kazi kama vile watu wanatuadhibu kwa matendo yetulakini siyo kama vile wametuhukumu kufa"