sw_tn/2co/05/13.md

16 lines
378 B
Markdown

# ikiwa kama tumerukwa na akili
Paulo anazungumza kuhusu namna wengine wanavyomfikiria yeyey na watenda kazi pamoja naye.
# Pendo la Kristo
Maana zinazowezekana ni: "Upendo wetu kwa Krist" au Pendeo la Kristo kwetu."
# alikufa kwa ajili ya wote
"alikufa kwa ajili ya watu wote"
# yeye mwenyewe alikufa na alifufuka
Katika sentensi hii neno " yeye" linamaanisha "Kristo"