# ikiwa kama tumerukwa na akili Paulo anazungumza kuhusu namna wengine wanavyomfikiria yeyey na watenda kazi pamoja naye. # Pendo la Kristo Maana zinazowezekana ni: "Upendo wetu kwa Krist" au Pendeo la Kristo kwetu." # alikufa kwa ajili ya wote "alikufa kwa ajili ya watu wote" # yeye mwenyewe alikufa na alifufuka Katika sentensi hii neno " yeye" linamaanisha "Kristo"