sw_tn/2co/02/14.md

1.1 KiB

Mungu , ambaye ni Kristo daima hutuongoza katika ushindi

Paulo anazungumza kuhusu Mungu kama vile angekuwa askari mshindi anayeongoza jeshi na kwa yeye mwenyewe na watenda kazi pamoja naye kama wale wanaoshiriki katika jeshi lile. " Mungu, ambaye ni Kristo daima hutufanya sisi tushiriki katika ushindi au " Mungu, ambaye ni Kristo daima hutuongoza sisi katika ushindi kama vile wale walio juu yeye kama vile alivyopata ushindi"

Kupitia sisi husambaza harufu nzuri ya manukato ya maarifa yake kila mahali

"" Paulo anazungumza juu ya maarifa ya Kristo kama vile manukato yaliyo na harufu nzuri " "Huyafanya maarifa ya Kristo kuenea kwa kila mtu anayetusikia sisi, kama vile manukato mazuri ya ubani uliounguzwa humfikia kila mmoja aliye karibu"

kila mahali

kila mahali tuendako

kwa Mungu tu manukato mazuri ya kristo

Paulo anazungumza juu ya huduma yake ilikuwa kama sadaka ya kuteketezwa ambayo mtu fulani hutoa kwa Mungu.

manukato mazuri ya Kristo

"manukato mazuri ni maarifa ya Kristo" au "manukato mazuri ya ambayo Kristo hutoa"

wale waliookolewa

"wale ambao Mungu amewaokoa"