forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
1.1 KiB
Markdown
24 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# Mungu , ambaye ni Kristo daima hutuongoza katika ushindi
|
||
|
|
||
|
Paulo anazungumza kuhusu Mungu kama vile angekuwa askari mshindi anayeongoza jeshi na kwa yeye mwenyewe na watenda kazi pamoja naye kama wale wanaoshiriki katika jeshi lile. " Mungu, ambaye ni Kristo daima hutufanya sisi tushiriki katika ushindi au " Mungu, ambaye ni Kristo daima hutuongoza sisi katika ushindi kama vile wale walio juu yeye kama vile alivyopata ushindi"
|
||
|
|
||
|
# Kupitia sisi husambaza harufu nzuri ya manukato ya maarifa yake kila mahali
|
||
|
|
||
|
"" Paulo anazungumza juu ya maarifa ya Kristo kama vile manukato yaliyo na harufu nzuri " "Huyafanya maarifa ya Kristo kuenea kwa kila mtu anayetusikia sisi, kama vile manukato mazuri ya ubani uliounguzwa humfikia kila mmoja aliye karibu"
|
||
|
|
||
|
# kila mahali
|
||
|
|
||
|
kila mahali tuendako
|
||
|
|
||
|
# kwa Mungu tu manukato mazuri ya kristo
|
||
|
|
||
|
Paulo anazungumza juu ya huduma yake ilikuwa kama sadaka ya kuteketezwa ambayo mtu fulani hutoa kwa Mungu.
|
||
|
|
||
|
# manukato mazuri ya Kristo
|
||
|
|
||
|
"manukato mazuri ni maarifa ya Kristo" au "manukato mazuri ya ambayo Kristo hutoa"
|
||
|
|
||
|
# wale waliookolewa
|
||
|
|
||
|
"wale ambao Mungu amewaokoa"
|