sw_tn/2co/02/12.md

655 B

Sentensi unganishi

Paulo anawatia moyo wakristo katika Korintho kwa kuwaambia kuhusu fursa aliyokuwa nayo kuihubiri injili katika Troa na Makedonia.

Bwana alikuwa amenifungulia mlango ...kuihubiri Injili

Paulo anazungumza juu ya fursa yake ya kuhubiri injili kama ilivyokuwa mlango kupitia ambao alikuwa amekubaliwa kuupitia. " Bwana alimfungulia mlango ...kuhubri injili" au " Bwana alimpatia fursa ....kuhubiri injili"

Sikuwa na amani moyoni

"Moyo wangu ulifadhaishwa " au "Nilitiwa hofu"

ndugu yangu Timotheo

Paulo anazungumza kuhusu Timotheo kama kiongozi wake wa kiroho.

"Hivyo niliondoka"

"Hivyo niligana na watu wa Troa"