# Sentensi unganishi Paulo anawatia moyo wakristo katika Korintho kwa kuwaambia kuhusu fursa aliyokuwa nayo kuihubiri injili katika Troa na Makedonia. # Bwana alikuwa amenifungulia mlango ...kuihubiri Injili Paulo anazungumza juu ya fursa yake ya kuhubiri injili kama ilivyokuwa mlango kupitia ambao alikuwa amekubaliwa kuupitia. " Bwana alimfungulia mlango ...kuhubri injili" au " Bwana alimpatia fursa ....kuhubiri injili" # Sikuwa na amani moyoni "Moyo wangu ulifadhaishwa " au "Nilitiwa hofu" # ndugu yangu Timotheo Paulo anazungumza kuhusu Timotheo kama kiongozi wake wa kiroho. # "Hivyo niliondoka" "Hivyo niligana na watu wa Troa"