sw_tn/2co/01/17.md

8 lines
614 B
Markdown

# nilikuwa mashaka?
Paulo anatumia swali hili kusisitiza alikuwa na uhakika uamuzi wake kuwatembelea Wakorintho. Jibu lililotarajiwa kwa swali hili lilikuwa "Nilikuwa sina mashaka" au " Nilikuwa na ujasiri katika uamuzi wangu"
# Je, ninapanga vitu kwa mujibu wa vigezo vya kibinadamu kwa wakati mmoja?
Hii ina maanisha kuwa Paulo hakusema kwa pamoja kwamba angetembelea na kwamba asingetembelea. Maneno "ndiyo" na " hapana" yamerudiwa kwa msisitizo. "Kwa hiyo nitasema "Ndiyo" wakati nitakapojuwa kwa hakika kuwa nitatembelea na "Hapana" pale tu ninapojua kuwa sina uhakika wa kutembelea kwa wakati mmoja"