sw_tn/2co/01/17.md

614 B

nilikuwa mashaka?

Paulo anatumia swali hili kusisitiza alikuwa na uhakika uamuzi wake kuwatembelea Wakorintho. Jibu lililotarajiwa kwa swali hili lilikuwa "Nilikuwa sina mashaka" au " Nilikuwa na ujasiri katika uamuzi wangu"

Je, ninapanga vitu kwa mujibu wa vigezo vya kibinadamu kwa wakati mmoja?

Hii ina maanisha kuwa Paulo hakusema kwa pamoja kwamba angetembelea na kwamba asingetembelea. Maneno "ndiyo" na " hapana" yamerudiwa kwa msisitizo. "Kwa hiyo nitasema "Ndiyo" wakati nitakapojuwa kwa hakika kuwa nitatembelea na "Hapana" pale tu ninapojua kuwa sina uhakika wa kutembelea kwa wakati mmoja"