sw_tn/2co/01/11.md

274 B

Atafanya hivi kama ninyi pia mlivyotusaidia

"Mungu atatuokoa kutoka hatarini kama ninyi, watu wa kanisa la Korintho, mtusaidia na sisi pia"

Upendeleo wa utukufu umetolewa kweyu

Hii inaweza kuelezwa katika kauli tendaji. "Upendeleo wa utukufu ambao uliotolewa kwetu"