# Atafanya hivi kama ninyi pia mlivyotusaidia "Mungu atatuokoa kutoka hatarini kama ninyi, watu wa kanisa la Korintho, mtusaidia na sisi pia" # Upendeleo wa utukufu umetolewa kweyu Hii inaweza kuelezwa katika kauli tendaji. "Upendeleo wa utukufu ambao uliotolewa kwetu"