sw_tn/2co/01/05.md

908 B

Kama vile mateso ya Kristo yalivyoongezeka kwa faida yetu

Paulo anazungumzia mateso ya Kristo kama vile yalivyokuwa kielelezo ambacho kingeongezeka katika idadi "Kama vile Kristo alivyoteswa sana kwa faida yetu"

Mateso ya Kristo

Maana zake zaweza kuwa 1) kwamba hii ina maanisha mateso ya Paulo na Timotheo waliyoyapitia kwa sababu wanahubiri ujumbe unaomhusu Kristo au 2) inamaanisha mateso ya Kristo aliyoyapitia kwa niaba yao.

Faraja yetu inadumu

Paulo anazungumza kuhusu faraja kwa vile kama mfano ambao ungeweza kuongezeka ukubwa wake.

lakini kama tukiteswa

hapa neno "sisi" lina maanisha Paulo na Timotheo, lakini siyo Wakorintho. Hii inaweza kuelezwa katika kauli tendaji "Lakini hata kama watu wakitutesa"

Kama tukitiwa faraja

Hii inaweza kuelezwa katika kauli tendaji badala yake " Kama Mungu akitufariji"

Faraja yenu inafanya kazi vizuri

"Mnapitia faraja timilifu"