sw_tn/2ch/35/20.md

492 B

Taarifa za jumla:

Neko alikuwa mfalme wa Misri na alichukuwa uamuzi wa kwenda kupigana vita na Yosia , mfalme wa Yuda.

Kuliweka hekalu katika utaratibu.

"Alirejesha ibada yenye utaratibu mzuri katika hekalu"

Nikufanye nini, mfaalme wa Yuda?

"Huna sababu ya kunivamia mimi wewe Mfalme wa Yuda".

Mimi iiji kinyume nawe.

"Mimi ssipigani wala kupingana na ufalme wako".

Lakini dhidi ya nyumba ambayo nafanya vita nayo.

"Dhidi ya Babeli. dhidi ya ya wale ninaofanya vita nao".