sw_tn/2ch/35/20.md

20 lines
492 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla:
Neko alikuwa mfalme wa Misri na alichukuwa uamuzi wa kwenda kupigana vita na Yosia , mfalme wa Yuda.
# Kuliweka hekalu katika utaratibu.
"Alirejesha ibada yenye utaratibu mzuri katika hekalu"
# Nikufanye nini, mfaalme wa Yuda?
"Huna sababu ya kunivamia mimi wewe Mfalme wa Yuda".
# Mimi iiji kinyume nawe.
"Mimi ssipigani wala kupingana na ufalme wako".
# Lakini dhidi ya nyumba ambayo nafanya vita nayo.
"Dhidi ya Babeli. dhidi ya ya wale ninaofanya vita nao".