sw_tn/2ch/34/31.md

346 B

Akisimama katika sehemu yake.

Akasimama mahali alipopaswa kusimama kwe lango la kuingia hekaluni"

Kwa moyo wake wote na roho yake yote.

Kwa pamoja, maneno haya mawili yanatoa maana inayohusu utu mzma wa mtu au utu wote wa mtu.

Wote walioonekana katika Yerusalemu na Benyamini.

"Wote waliokuwa wakiishi katika Yerusalemu na Benyamini."