# Akisimama katika sehemu yake. Akasimama mahali alipopaswa kusimama kwe lango la kuingia hekaluni" # Kwa moyo wake wote na roho yake yote. Kwa pamoja, maneno haya mawili yanatoa maana inayohusu utu mzma wa mtu au utu wote wa mtu. # Wote walioonekana katika Yerusalemu na Benyamini. "Wote waliokuwa wakiishi katika Yerusalemu na Benyamini."