sw_tn/2ch/34/22.md

220 B

Taarifa za jumla:

Hilkia ni miongoni mwa watumishi wa mfalme

Mtunza mavazi.

"Mtu aliyekuwa na kazi ya kutunza mavazi au kanzu za kikuhani"

Walizunguza naye katika namna hii

"Walifanya naye maongezi yafuayo."