sw_tn/2ch/34/22.md

12 lines
220 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla:
Hilkia ni miongoni mwa watumishi wa mfalme
# Mtunza mavazi.
"Mtu aliyekuwa na kazi ya kutunza mavazi au kanzu za kikuhani"
# Walizunguza naye katika namna hii
"Walifanya naye maongezi yafuayo."