sw_tn/2ch/32/22.md

8 lines
209 B
Markdown

# Akawapa pumziko katika kila upande
"Mahali hapa "pumziko" linamaana ya "amani". Aliwapa amani pamoja na watu wa nchi zingine jirani.
# Mbele za macho ya mataifa yote.
"Kwa hiyo watu wote jirani wakajua"