# Akawapa pumziko katika kila upande "Mahali hapa "pumziko" linamaana ya "amani". Aliwapa amani pamoja na watu wa nchi zingine jirani. # Mbele za macho ya mataifa yote. "Kwa hiyo watu wote jirani wakajua"