forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
377 B
Markdown
12 lines
377 B
Markdown
# Mwezi wa pili.
|
|
|
|
Huu ni mwezi wa pili katika kalenda ya Kiebrania. Ni mwezi ambao uko kati kati ya mwisho wa mwezi wa Apirl na mwazoni mwa mwezi Mei katika kalenda ya magharibi.
|
|
|
|
# Kijito Kidroni.
|
|
|
|
Hii ilikuwa chemi chemi ya maji katika Bonde Kironi.
|
|
|
|
# Siku ya kumi na na nnne ya mwezi wa pili..
|
|
|
|
Hiki ni kipindi karibu ya mwanzo wa mwezi wa Mei katika kalenda ya magharibi.
|