sw_tn/2ch/30/13.md

377 B

Mwezi wa pili.

Huu ni mwezi wa pili katika kalenda ya Kiebrania. Ni mwezi ambao uko kati kati ya mwisho wa mwezi wa Apirl na mwazoni mwa mwezi Mei katika kalenda ya magharibi.

Kijito Kidroni.

Hii ilikuwa chemi chemi ya maji katika Bonde Kironi.

Siku ya kumi na na nnne ya mwezi wa pili..

Hiki ni kipindi karibu ya mwanzo wa mwezi wa Mei katika kalenda ya magharibi.