sw_tn/2ch/29/35.md

8 lines
246 B
Markdown

# Zilitolewa pamoja na sadaka za mafauta za amani.
Makuhani waliyachoma mafuta ya wanyama ambao walitolewa kama sadaka kwa ajili ya kulinda ushirika mzuri na Yahwe.
# Ikawekwa katika utaratibu.
"Ziliimarishwa na makuhani kwa mjibu wa sheria"