sw_tn/2ch/29/35.md

246 B

Zilitolewa pamoja na sadaka za mafauta za amani.

Makuhani waliyachoma mafuta ya wanyama ambao walitolewa kama sadaka kwa ajili ya kulinda ushirika mzuri na Yahwe.

Ikawekwa katika utaratibu.

"Ziliimarishwa na makuhani kwa mjibu wa sheria"