sw_tn/2ch/29/15.md

372 B

Kijito cha Kidroni.

Sehemu ndogo ya maji ambayo hutiririka upande wa mashariki wa Yerusalemu. Kuna wakati kijito hicho kilikuwa kikitumika kama jalala.

Siku ya kwanza ya mwezi.

Ni kipindi kilicho karibu na mwisho wa mwezi wa tatu katika kalenda ya magharibi.

Siku ya nane ya Mwezi.

Hiki ni kipindi cha mwanzo wa mwezi wa Nne kwa mjibu wa kalenda ya magaharibi.