# Kijito cha Kidroni. Sehemu ndogo ya maji ambayo hutiririka upande wa mashariki wa Yerusalemu. Kuna wakati kijito hicho kilikuwa kikitumika kama jalala. # Siku ya kwanza ya mwezi. Ni kipindi kilicho karibu na mwisho wa mwezi wa tatu katika kalenda ya magharibi. # Siku ya nane ya Mwezi. Hiki ni kipindi cha mwanzo wa mwezi wa Nne kwa mjibu wa kalenda ya magaharibi.