sw_tn/2ch/29/08.md

271 B

Wasi wasi, Hofu, kudharauliwa.

Haya yote ni maneno yanayoashiria kuwepo kwa hali mbaya ya kuogopa sana.

Kama aamnavyoona kwa macho yenu.

"Kama mnavyoweza kuona wenyewe."

Hii ndiyo maana mababu zetu walianguka kwa upanaga.

"Hivyo ndivyo baba zetu walivyouawa."