sw_tn/2ch/28/26.md

196 B

Njia zake zote, mwanzo na mwisho.

"Kila kitu alichofanya."

Kitabu cha Wafalme wa Yuda na Israeli.

Hiki ni kitabu ambacaho hakipo tena.

Ahazi akalala pamoja na babu zake.

"Ahazi akafa."