# Njia zake zote, mwanzo na mwisho. "Kila kitu alichofanya." # Kitabu cha Wafalme wa Yuda na Israeli. Hiki ni kitabu ambacaho hakipo tena. # Ahazi akalala pamoja na babu zake. "Ahazi akafa."