sw_tn/2ch/27/06.md

8 lines
201 B
Markdown

# Alitembea imara mbele za Yahwe Mungu wake.
"Alimtii Yahwe bila kuyumba" au "Aliishi kwa kujitoa kikamilifu kwa Yahwe."
# Kitabu cha Wafalme wa Israeli na Yuda.
Hiki ni kitabu ambacho hakipo tena.