sw_tn/2ch/27/06.md

201 B

Alitembea imara mbele za Yahwe Mungu wake.

"Alimtii Yahwe bila kuyumba" au "Aliishi kwa kujitoa kikamilifu kwa Yahwe."

Kitabu cha Wafalme wa Israeli na Yuda.

Hiki ni kitabu ambacho hakipo tena.