sw_tn/2ch/26/19.md

200 B

Chetezo.

Hil lilikuwa bakuli maalumu ambalo lilitumika kuchomea sadaka za kuteketezwa.

Walimwondoa pale haraka.

"Walimfanya ondoke haraka."

Yahwe alikuwa amempiga.

"Yahwe alimfanya augue."