# Chetezo. Hil lilikuwa bakuli maalumu ambalo lilitumika kuchomea sadaka za kuteketezwa. # Walimwondoa pale haraka. "Walimfanya ondoke haraka." # Yahwe alikuwa amempiga. "Yahwe alimfanya augue."