sw_tn/2ch/21/11.md

194 B

Kahaba.

Neno "kahaba" lina maana aya mtu anayefanya kazi ya kujiuza kwa ajili ya kupata pesa au kwa mambo ya kidini. Kwa kawaida makahaba walikuwa wanawake, lakini wachache walikuwa wanaume.