# Kahaba. Neno "kahaba" lina maana aya mtu anayefanya kazi ya kujiuza kwa ajili ya kupata pesa au kwa mambo ya kidini. Kwa kawaida makahaba walikuwa wanawake, lakini wachache walikuwa wanaume.