sw_tn/2ch/20/22.md

260 B

Mlima Seiri

Angalia sura ya 20:10

Akapanga wanaume katika mavamizi.

"Akafanya mavamizi ya kusitukiza."

Ili kuwaua kabisa na kuwaangamiza.

Virai hivi viwili kimsingi vina maana moja. Cha pili kinatoa ufafanuzi wa kile cha kwanza. "Kuwaondoa kabisa".