# Mlima Seiri Angalia sura ya 20:10 # Akapanga wanaume katika mavamizi. "Akafanya mavamizi ya kusitukiza." # Ili kuwaua kabisa na kuwaangamiza. Virai hivi viwili kimsingi vina maana moja. Cha pili kinatoa ufafanuzi wa kile cha kwanza. "Kuwaondoa kabisa".