sw_tn/2ch/20/10.md

238 B

Mlima Seiri

Hii ilikuwa sehemu ambapo Waedomu waliishi.

Ona jinsi wanavyotuzawadia; wanakuja kututoa nje ya nchi yako.

"Hivi ndivyo wanavyo 'tulipa' sisi kwa ajili ya huruma tuliyowaonesha; wanakuja kutufukuza nje ya nchi yako."