sw_tn/2ch/20/10.md

8 lines
238 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mlima Seiri
Hii ilikuwa sehemu ambapo Waedomu waliishi.
# Ona jinsi wanavyotuzawadia; wanakuja kututoa nje ya nchi yako.
"Hivi ndivyo wanavyo 'tulipa' sisi kwa ajili ya huruma tuliyowaonesha; wanakuja kutufukuza nje ya nchi yako."