sw_tn/2ch/20/05.md

610 B

Yahwe, Mungu wa babu zetu, hauko mbinguni? Wewe siyo mtawala juu ya falme zote za mataifa?

"Hakika wewe ni Mungu wa mbinguni na mtawala juu ya wafalme wote wa dunia".

Nguvu na uweza viko mikononi mwako.

Maneno "nguvu" na "uweza" kimsingi yana maana moja na yanasisitiza ukuu wa nguvu za Yahwe. Neno "mkono" lina maana aya umiliki; "Una nguvu kuuu".

Hukuwafukuza nje wakaaji wa nchi hii mbele ya watu wako Israeli, na kuitoa milele kwa ajili ya uzao wa Abrahamu?

"Wewe ndidye uliwatoa nje watu waliokuwa wakiishi katika nchi hii kwa ajili ya watau wako Israeli na kuitoa milele kwa uzaoa wa Abraham"