forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
610 B
Markdown
12 lines
610 B
Markdown
|
# Yahwe, Mungu wa babu zetu, hauko mbinguni? Wewe siyo mtawala juu ya falme zote za mataifa?
|
||
|
|
||
|
"Hakika wewe ni Mungu wa mbinguni na mtawala juu ya wafalme wote wa dunia".
|
||
|
|
||
|
# Nguvu na uweza viko mikononi mwako.
|
||
|
|
||
|
Maneno "nguvu" na "uweza" kimsingi yana maana moja na yanasisitiza ukuu wa nguvu za Yahwe. Neno "mkono" lina maana aya umiliki; "Una nguvu kuuu".
|
||
|
|
||
|
# Hukuwafukuza nje wakaaji wa nchi hii mbele ya watu wako Israeli, na kuitoa milele kwa ajili ya uzao wa Abrahamu?
|
||
|
|
||
|
"Wewe ndidye uliwatoa nje watu waliokuwa wakiishi katika nchi hii kwa ajili ya watau wako Israeli na kuitoa milele kwa uzaoa wa Abraham"
|