sw_tn/2ch/20/01.md

161 B

Amoni.

Hili lilikuwa kundi la watu ambalo yawezekana liliishi karibu na Edomu, mashariki mwa mto Yorodani.

Hason-tamari.

Hili ni jina jingine la En-gedi.